KARIBUNI SANA WADAU KATIKA BLOG YETU YA LIBENEKE LA KASKAZINI, TUMA MAONI NA MATANGAZO YAKO AU TUPIGIE SIMU NAMBA +255 755 264 620 KARIBU SANA....

Sunday, May 15, 2011

YALIOJIRI KATIKA SHOO YA 20% ILIYOFANYIKA MKOAN ARUSHA KATIKA UKUMBI WA tRIPLE A20 %akitoa burudani katika shoo iyo iliyoandaliwa na chanel ten

watu balaa palikuwa hapatoshi
vimwana vya FM Academia vikifanya mambozi

Waimbaji wa FM Academia wakifanya vitu vyao
Nyoshi wa FM Academia akibadilishana jambo na mshabiki wake aliyekuwepo kwenye shoofull mzuka


watu walikuwa wanajiachia balaa

Kikosi kilichokuwa kwenye shoo hiyo ya ikiwa jukwaani kwaajili ya utambulishoApo Dj Tas wa Magic Fm akiwa anamtambulisha Mtangazaji mwenzake Jamila Omar kwa wadau wa mkoa wa Arusha waliouthuria shoo hiyo

wati walikuwa wengi balaa


wafanyakazi wa chanel ten wakiburudika
watangazaji wa chanel ten wakiwa na mfanyakazi wa triple A wakiwa wanabadilishana mawazo
Share this article

0 comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Google+ Followers

 
Copyright ©2010-2014 LIBENEKE LA KASKAZINI • All Rights Reserved.
Template Design by Gadiola Emanuel • Powered by Blogger
back to top