Ticker

6/recent/ticker-posts

POLISI WASEMA KILICHOTUPWA ARUSHA NIGHT PARK(MATAKO BAR) KILIKUWA NI BOMU

Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai cp  Issaya Mngulu  akiongea na waandishi wa habari hivi leo amesema kuwa  mlipuko uliotokea juzi katika bar ya Arusha Night park(Matako bar) ulikuwa ni wabomu la kutengenezwa kienyeji 

Amesema kuwa  katika tukio hilo la bomu watu kumi na tano walijeruliwa  na walifikishwa katika hospitali ya mkoa ya Mounti meru  lakini mpaka sasa watu wat u saba wameruhusiwa na wengine nane bado wamelazwa katika hospita  hiyo hiyo ya mkoa

Aidha ameongeza kuwa jeshi la polisi  limekamata  kitu ambacho kinasadikiwa ni kifaa  cha kutengenezea bomu   ambacho kimekutwa kimetelekezwa katika bar moja inayojulikana kama washngton bar ilipo jijini hapa.

Post a Comment

0 Comments