Ticker

6/recent/ticker-posts

MCHEKI MWANADADA EDITH ISIDORE ALIVYOPENDEZA KATIKA SENDOFF YAKE ILIOFANYIKA MKOANI KILIMANJARO

picha ya juu na chini ni mwanadada  Edith Isidore akiwa katika pozi na vazi lake la sendoff
 Edith akiwa salooni baada ya kupendeza tayari kwa ajili ya siku yake ya Sendoff au kwa jina lingine siku aliyoandaliwa na wazazi wake kwa ajili ya kuagwa na kukabidhiwa katika familia ya mumewe
 warembo ambao walikuwa  mabesti wa bibi arusi mtarajiwa Edith
 wazazi ambao ni baba na mama wa bibi Arusi mtarajiwa Edith Isidore  ndani ya ukumbi

 bi harusi mtarajiwa Edith Isidore wakipata chakula cha usiku na   bwana harusi mtarajiwa Barry Galinoma mara baada ya kukabithiwa mke
picha ni muonekana wa nyuso za furaha  za wanandoa watarajiwa Edith Isidore pamoja na Barry Galinoma picha zote kwa hisani ya libeneke la kaskazini blog

Post a Comment

0 Comments