Ticker

6/recent/ticker-posts

MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WILAYANI HAI KWA MWAKA 2014

MUHTASARI WA MATOKEO YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI HAI KWA MWAKA 2014
KATA
WENYEVITI
WA
VIJIJI
WENYEVITI
WA
VITONGOJI
VITI MAALUMU
H/SHAURI
YA
KIJIJI
S/N
CCM
CDM
CCM
CDM
CUF
CCM
CDM
CCM
CDM
1
MACHAME MAGHARIBI
0
2
3
9
2
14
3
17
2
KIA
2
0
12
2
15
1
23
0
3
WERUWERU
4
0
14
3
1
30
2
42
3
4
MACHAME MASHARIKI
5
0
18
4
40
0
58
0
5
MASAMA RUNDUGAI
3
2
17
7
28
12
37
19
6
BOMANG’OMBE
2
3
7
BONDENI
6
0
8
MUUNGANO
0
6
9
MASAMA KATI
1
4
5
13
8
32
19
43
10
MASAMA MAGHARIBI
2
3
8
8
30
6
32
32
11
MACHAME NARUMU
3
1
12
4
26
6
26
16
12
MACHAME UROKI
2
2
6
10
17
14
10
38
13
MASAMA MASHARIKI
4
1
11
5
32
6
52
12
14
MASAMA KUSINI
1
2
7
9
15
17
20
38
15
ROMU
3
2
12
6
31
9
49
12
16
MNADANI
3
3
20
18
24
24
32
26
17
MACHAME KASKAZINI
1
4
10
19
12
28
13
26
JUMLA
34
26
163
126
1
320
171
416
282












  1. MJI MDOGO WA HAI; Mji huo ulioanzishwa mapema mwaka huu unaundwa na kata tatu ambazo ni Bomang’ombe,Bondeni na Muungano hivyo kata zake hazina vijiji bali zina vitongoji tu.
  1. KATA YA KIA; Kijiji cha Sanya Stesheni;kitongoji cha Palestina wanarudia uchaguzi tarehe 17/12/2014.Takwimu za mwenyekiti wa kijiji,vitongoji na wajumbe wa halmashauri pamoja na viti maalumu na mchanganyiko zitabadilika wakimaliza uchaguzi.
  1. KATA YA MACHAME NARUMU; Kijiji cha Orori; kitongoji cha Mulla wagombea wawili wamefungana kura hivyo mchakato utaanza upya kwa mujibu wa kanuni.
  1. KATA YA MASAMA KUSINI;Kijiji cha Kwasadala;Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kijiji haukufanyika kutokana na kifo cha Mgombea wa CCM.Hivyo uteuzi wake umetenguliwa na sasa CCM itafanya uteuzi wa mgombea mwingine tarehe 19/12/2014.Kwa mujibu wa kanunui uchaguzi utapanga katika muda usiozidi siku tisini.
  1. KATA YA MACHAME KASKAZINI;Kijiji cha Foo;Kitongoji cha Nshironi wagombea wawili wamefungana kura hivyo mchakato utaanza upya kwa mujibu wa kanuni na katika kijiji cha Wari Ndoo uchaguzi wa wajumbe wa halmashauri ya kijiji utafanyika tarehe 17/12/2014.Takwimu zitabadilika baada ya uchaguzi
  1. KATA YA WERUWERU; Kijiji cha Kikavu chini kitongoji cha Landi,wagombea wawili wamefungana hivyo mchakato utaanza upya kwa mujibu wa kanuni
VIFUPISHO;
  1. CCM – Chama Cha Mapinduzi
  2. CDM – Chama cha Demokrasia na Maendeleo
  3. CUF – Civc United Front

Post a Comment

0 Comments