Ticker

6/recent/ticker-posts

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2014 HAYA HAPA

kidato2_300_172
Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Charles Msonde
Jumla ya wanafunzi 29,770 waliofanya mitihani ya kidato cha pili mwana 2014, ambayo ni ya kwanza kusimamiwa na NECTA watalazimika kurudia mitihani hiyo baada ya kukosa alama za kuwvusha kidato cha tatu. Wanafunzi 375,434 waliofanya mitihani hiyo wamefanikiwa kuendelea na kidato cha tatu!

BONYEZA HAPA KUSOMA MATOKEO YENYEWE

Post a Comment

0 Comments