Ticker

6/recent/ticker-posts

MAELFU WAUTHURIA MKUTANO WA KAIMU KATIBU MKUU WA CHADEMA MNYIKA MJINI MUSOMA

 Picha  za mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Kaimu Katibu Mkuu John Mnyika leo jioni Musoma, Uwanja wa Mkendo baada ya asubuhi kuzindua mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za mitaa kwa kanda ya Serengeti (Mara, Simiyu na Shinyanga), ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kushinda dola na kuongoza serikali, kama yalivyozinduliwa kitaifa na Mwenyekiti wa Taifa hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
 mnyika akishabikiwa na wananchi
 picha ni sehemu ya wananchi waliouthuria mkutano huo

Post a Comment

0 Comments