Rais Kikwete ahudhuria mazishi ya Mama Millie Mengi, Machame

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za Mwisho kwa marehemu Millie Benjamin Mengi huko Machame, Moshi jana mchana. Marehemu Millie Benjamin Mengi ni mke wa Bwana Benjamin Mengi ambaye ni mdogo wa mwenyekiti wa makampuni ya IPP Bwana Reginald Mengi.Anayefuata nyuma ya Rais Mwenye tai nyekundu ni Bwana Benjamin Mengi mume wa Marehemu. Chini Rais Kikwete akiweka shada la maua kaburini

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia