
Mkuu wa wilaya ya Arusha Raimondi Mushi akiongea na wakuu wa michezo mbalimbali kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania wakiwemo maafisa utamaduni na Walimu wa vyuo,shule za msingi na sekondari katika semina yao aliyoifungua katika ukumbi wa goldenrose uliopo jiji hapa jana.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia