WALIOKUFA KATIKA VURUGU ZA KISIASA ARUSHA WAZIKWA
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema wakiwa wanatoka katika chumba cha kuifadhia maiti huku wamebeba mwili wa Ismail Omary tayari kwa kwenda kwenye viwanja vya NMC


Wananchi walijitokeza wengi kuaga miili ya watu hawa waliowawa katika vita hivyovilivyotokea January tano.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia