MATUKIO YA UZINDUZI WA NYAYO ZA ZAMADAMU



Jk akiwa katika picha ya pamoja na maprofesa wanaofanya kazi ya kufukua nyayo izo za zamadamu wakale



Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete aliongea mengi na kuhutubia huku akiwa na furaha kubwa na alihaidi kushirikiana kwa hali na mali kuhifadhi nyayo izo pamoja na kujengea makumbusho



walijitokeza wengi kushuhudia nyayo za zamadamu akiwemo naibu spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai

kulikuwepo na ngoma pia katika sakata hilo la kuangalia nyayo za Zamadamu



wadau ambao walitembelea katika uzinduzi huo wa Zamadamu akiwemo kijana mzima mpiganaji Musa Juma

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia