WATOTO WA BRIGEDIA GWEBE NYIRENDA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO
Mtoto wa Tima Gwebe Nyirenda Kuwani mdada anayeshuka akiwa na kaka yake Alex Foti Gwebe Nyirenda wakishuka kwenye gari tayari kwa kuanza kupanda mlima
Tima gwebe Nyirenda akijiandaa kushuka kwenye gari
Wakiwa wanasubiri ruhusa ya kupand amlima
Baadhi ya watu waliokuwa wameongozana nao wakiwa wameanza safari
Wakifurahia na kuanza safari ya kwenda mlima kilimanjaro ambapo baba yao alipandisha mwenye wa uhuru katika miaka ya 1961

ujumbe wote ambao ulikuwa unapanda mlima Kilimanjaro na watoto wa Brigedia Gwebe Nyirenda ukiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari wa kwanza kulia ni mtoto wa kiume wa Nyirenda Alex Foti akifuatiwa na rafiki wa baba yake mpendwa Ameen Kashimiri ,wengine ni Rahim Kashimiri,Mobeen Kashimiri,Paul Mason,Aunali Rajabali,Lorley Lavilla,Mohamed Khimji,pamoja na mtoto wa kike wa Nyirenda Tima Gwebe Nyirenda






0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia