Mkurugenzi wa asasi ya Good Hope ya mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,Mheshimiwa Dorah Mushi akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya ujasiriamali mshiriki wa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na asasi hiyo kwa udhamini wa mradi wa Chiyofa kupitia asasi ya FIC ya nchini Denmark (katikati) ni Mratibu wa Chiyofa,Samson Kube na msaidizi Alex Mushi

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia