TAMASHA LILILOANDALIWA NA KITUO CHA RADIO 5 LAFANA ARUSHA
timu ya mpira ya chuo kikuu cha Tumaini mkoni Arusha kikiwa kinajiandaa na mechi ya kirafiki na timu ya chuo cha Uhasibu
Wana vyuo waliouthuria tamasha hilo walipata semina ihusuyo maswala ya ukimwi mara baada ya kumaliza michezo mbalimbali
wafanyakazi wa radio 5 akiwemo Linus
kilembu pamoja na Vicki Kuvuna akiwa wanafurahia na bango lao
waliloliweka katika wiwanja vya chuo cha makumira
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia