Dr. JAKAYA KIKWETE KATIKA MSIBA WA KUUAGA MWILI WA ASKOFU THOMAS LAIZER JIJINI ARUSHA



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu cha maombolezo ya Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini Kati, la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kwenye Kanisa Kuu la KKKT mjini Arusha kabla ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Askofu.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini Kati la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kwenye Kanisa Kuu la KKKT jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini Kati nyumbani kwa Askofu mara baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu kwenye Kanisa Kuu la KKKT jijini Arusha, Alhamisi, Februari 14, 2013. Picha zote na Fredy Maro wa Ikulu

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia