KIFUSI CHAFUNIKA WATU MKOANI KILIMANJARO WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA
| Hatimaye mwili wa kijana huyo ukaonekana. |
| Shughuli za kufukua kifusi katika eneo hilo ukaendelea . |
| hatimaye mwili ukaopolewa toka katika kifusi. |
| Hivi ndivyo vijana wa eneo hilo wakawa wamefanikisha kupatikana mwili wa mwenzao. |
| Mwili wa kijana Shukuru Temu ukishushwa toka katika machimbo ya Rongoma . |
| Wananchi katika kijiji cha Masaera wakiwa wamezunguka mwili wa marehemu Shukuru baada ya kufikishwa barabarani toka kwenye machimbo ya Rongoma. |
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia