RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kisha kufanya mazungumzo na
Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam
rais huyo wa
42 wa Marekani yuko nchini kukagua miradi ya maendeleo na afya
inayofadhiriwa na taasisi za Clinto Development Initiative (CDI) na
Clinto Health Access Initiative (CHAI).


0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia