WASIMAMIZI, WAHARIRI NA WADADISI WA UTAFITI WA AFYA YA MAMA NA MTOTONA MALARIA WA MWAKA 2015,WAPEWA MAFUNZO
![]() |
| Baadhi ya wauguzi wanaoshiriki mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. |
![]() |
| Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Takwimu ,Ephraim Kwesigabo akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo hayo. |
![]() |
| Baadhi ya washiriki. |
![]() |
| Mkurugenzi wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila akizindua matokeo muhimu ya utafiti wa tathmini ya utoaji wa huduma za afya nchini Tanzania 2015. |
![]() |
| Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Hafidh Rajab akitoa neno la shukrani wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. |
![]() |
| Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo ambao ni wauguzi kutoka maeneo mbalimbali nchini. |
![]() |
| Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |















0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia