USAILI WA WAIMBAJI NA WAPIGAJI KWENYE IBADA YA KITAIFA YA KUABUDU KUFANYIKA JUMAMOSI HII
THE WORSHIPPERS TANZANIA ni umoja wa makanisa yote wanaopenda kumwabudu Mungu wameandaa mkesha mkubwa kwa ajili ya kumwabudu Mungu katika jiji la Dar es salaam kwa Wana Dar es Salaam wote wapendao kuabudu utakaofanyika 1.12.2017 siku ya Ijumaa kuanzia saa 3 usiku Upanga CCC.
- Je wewe ni muimbaji ama una kipaji cha kuimba ama wapiga vyombo kanisani?
- Uko tayari kumwabudu Mungu?
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia