MAELFU YA WAKAZI WA MOROGORO WAKUTANA KATIKA TAMASHA LA FIESTA
![]() |
| Wasanii Ben Pol na Jux wakishirikiana kuimba wimbo wao NAKUCHANA kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro |
![]() |
| Country Boy akiimba na maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika Tamasha la Tigo Fiesta |
![]() |
| Rich Mavoko akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Morogoro mapema usiku wa kuamkia jumatatu. |
![]() |
| MimiMars akiimba katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia jumatatu mkoani Morogoro. |
![]() |
| Barnaba akitumbuiza kwa maelfu ya mashabiki waliojitokeza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta mkoani Morogoro. |
![]() |
| NedyMusic aktumbuiza katika jukwaa la Tigo fiesta mapema juzi katika viwanja vya Jamhuri mkoani Dodoma. |
![]() |
| Nandy akiburudisha wakazi wa Morogoro katika Tamasha la Tigo fiesta mapema juzi katika viwanja vya Jamhuri |







0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia