PICHA WAGOMBEA UBUNGE WA CCM
الأحد, أكتوبر 31, 2010
Picha mgombea ubunge wa ccm jimbo la simanjiro Ole Sendeka akiwa na mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini Dr.Batilda Burian wakibadilishana mawazo siku ya sherehe za kufunga kampeni za Arusha mjini
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia