Kwenye safari kuna misuko suko mingi hapa katika picha hii tulikuwa katika boti tukielekea gombe mara mvua kubwa ikaanza kunyesha na mawimbi yalizidi kuwa makali katika ziwa tanganyika ndipo tuliamua kuchukuwa turubai na kujifunika na muda ulivyozidi wimbi lilizidi hapo muaandishi wa habari wa ITV Maratu alipo amua kuvua nguo na ili pindi boti ikizama aweze kujiokoa ila tulishukuru mungu tulifika salama katika safari yetu majaketi tuliovaa juu ni kwaajili ya kutusaida mara baada ya kuzama ili maiti za watu watakao zama zionekane na katika safari yetu ya majini tulishauriwa sana kuvaa majaketi hayo

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia