ANGALIA USIKU WA TUDD THOMAS WAFANA NDANI YA DAR LIVE
Wasanii
mbalimbali wakiwemo Marlaw, Izzo B, Chegge, Tundaman, Mhe. Temba, Amin,
Queen Darleen, Quick Lacka, Baghdad, Scorpion Girls, Makomandoo na
wengineo usiku wa kuamkia leo walifanya makamuzi ya nguvu katika Tamasha
la Usiku wa Prodyuza Tudd Thomas lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
wa Burudani, Dar Live uliopo pande za Mbagala Zakhem jijini Dar es
Salaam.
(PICHA NA ISSA MNALLY / GPL)
About Woinde Shizza
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia