HII NDIO SIKU YA SERIKALI ZA MITAA YAFANA IRINGA MANISPAA YA IRINGA
Mbunge
Msigwa na mkuu wa wilaya ya Iringa wakitazama ndizi aina ya
Jamaica inayolimwa Mtwivila Iringa iliyoletwa katika maonyesho ya
serikali za mitaa leo mjini Iringa
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Iringa mjini akiwasili jukwaa kuu na kusalimiana na mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba |
![]() |
| Hapa mbunge Msigwa akisalimiana na naibu meya wa Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki |
![]() |
| Mtaalam kutoka AMREF Bi Stellah akitoa maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na AMREF |
![]() |
| Mhandisi wa Manispaa ya Iringa Mashaka Luhamba akitoa maelezo ya idara ya ujenzi inavyofanya kazi katika Manispaa ya Iringa ambao kwa sasa wamepiga hatua katika ukarabati wa barabara za mitaa |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba akimtazama kwa makini askari wa kikosi cha zimamoto mjini Iringa akionyesha jinsi ya kuzima moto |









0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia