Mwezeshaji
Beda Msimbe akiendelea kuwanoa wanahabari wamiliki wa mitandao ya
kijamii nchini ambao wanapatiwa mafunzo na TMF.
 |
| Wanahabari
wa vyombo mbali mbali na wamiliki wa mitandao ya kijamii (Blog)
wakiendelea na mafunzo yao ya siku nne katika ukumbi wa Dodoma
Hotel leo,mafunzo yaliyolenga kuboresha uandishi wa mitandao ya
kijamii |
 |
Wanahabari wakionyesha kufurahia mafunzo ya uandishi wa mitandaoni leo mjini  |
 |
| Mmoja
kati ya wawezeshaji wa mafunzo hayo Bw Beda akiwapa mafunzo mzee wa
matukio daima kushoto na wamiliki wa blog wengine wakiwa katika
darasa la mabloga leo |
 |
| Mwanahabari
Brandy Nelson akijitambulisha kabla ya mafunzo hayo ya TMF ambayo
bila shaka yataongeza ubora wa blog nchini Tanzania.Na FRANCIS GODWIN |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia