HIVI NDIVYO WANAWAKE WA KISIWANI PEMBA WALIVYOSHEREKEA SIYA WANAWAKE DUNIANI


Vijana wa Chipukizi wa‘brass bend’ wakiongoza maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani,kisiwani Pemba siku hiyo imeadhimishwa leo, na kupokelewa na Afisa Mdhamini wa Ofisi ya Rais Ikulu.Bi.Jokha Khamis Makame, wakipita mitaa ya Mji wa Chakechake.

Polisi wa kitengo cha dawati la Jinsia na Watoto la Polisi mkoa wa Kusini Pemba, wakiwa ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki maandamano ya siku ya wanawake duniani na kupokelewa na mgeni rasmi, Ofisa Mdhamini Wizara ya nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora, Nd, Jokha Khamis Makame ambapo zilifanyika uwanja wa Tenis Chake Chake

Wanafunzi wa skuli ya msingio kisiwani Pemba wakisoma Jarida la Kituo cha Huduma za Sheria Tanzania (ZLSC) Pemba, kwenye siku ya wanawake duniani zilizofanyika Pemba zilizofanyika katika uwanja wa Tenis mjini Chake

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia