JENGO LA NSSF KUBADILI TASWIRA YA MJI WA MOSHI.

Jengo jipya linalojengwa na Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamii  (NSSF) kukamilika kwake kutabadili taswira ya mji wa Moshi kwa kiasi kikubwa.Ni jengo ambalo limejengwa kisasa  ambalo kukamilika kwake kutapendezesha mji wa Moshi.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia