WAZIRI NYALANDU ARUHUSU WANANCHI WANOENDA KWENYE MATIBABU KITUO CHA AFRICA AMINI KUPITA BILA KULIPA HIFADHINI.
| Waziri Nyalandu akisalimiana na wagonjwa waliofika katika kituo hicho kwa ajili ya kupata matibabu,Pembeni yake ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar. |
| Waziri Nyalandu akizungumza na mmoja wa wagonjwa aliyekuwa katika kituo hicho ambaye alihitaji kiasi cha shilingi 5000 kwa ajili ya matibabu pesa ambazo alisaidiwa na Waziri Nyalandu . |
| Waziri Nyalandu akizungumza na mmoja ya watu waliofika katika kituo hicho kwa ajili ya matibabu waliyefahamiana . |
| Waziri Nyalandu akisamia wagonjwa. |
| Waziri Nyalandu akimsalimia mmoja wa wagonjwa waliokuwa wakipata matibabu katika chumba cha matibabu cha kituo hicho cha Afya cha Africa Amini. |
| Waziri Nyalandu akiteta jambo na mmoja wa wafanyakazi katika kituo hicho aliyefahamika kwa jina la Jamilah Mongi. |
| Mkurugenzi wa Kituo cha Africa Amini Cornellia Walner akitoa maelezo mbele ya Waziri Nyalandu,Mbunge Nassar na Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa(ANAPA) Betrita Loibook. |
| Waziri Nyalandu akitia saini katika kitabu cha Wageni. |
| Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha(ANAPA) Betrita Loibook akizungumza juu ya tozo hiyo. |
| Waziri Nyalandu akitoa maamuzi ya serikali kuhusiana na hadha hiyo ambapo ameruhusu wananchi wanaoelekea katika kituo hicho kwa ajili ya kupata matibabu wapite bila ya kutozwa chochote. |
| Mkutano ukiendelea katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha. |
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia