TAZAMA WIMBO WA KUMUAGA JK KUTOKA UJERUMANI KWA NGOMA AFRKA BAND
NYIMBO ZA KUMUAGA RAIS JAKAYA KIKWETE HEWANI !
SI WENGINE NI NGOMA AFRICA BAND AKA FFU -Ughaibuni
yenye maskani kule ujerumani
Mtunzi:Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja
Waimbaji: Kamanda Ras Makunja
Afande Chris-B ambaye pia ni mpiga solo gitaa
Bendi:
Ngoma Africa band aka FFU
wasiliana nao at ngoma4U@gmail.com
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia