ASKARI POLISI WA MERERANI WASHIRIKI KUFANYA USAFI KATIKA SIKUKUU ZA SHEREHE ZA UHURU





Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.
 Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkonai Manyara, Mrakibu msaidizi wa polisi (ASP) Thomas Mniko (katikati) akishirikiana na askari polisi wa kituo hicho, kusafisha mazingira yanayowazunguka.
Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Mrakibu msaidizi wa polisi (ASP) Thomas Mniko akisafisha mazingira yanayozunguka kituo hicho.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia