HILI NALO JIPU
Baadhi
ya abiria waliokuwa wamepanda kivuko cha Mv Kigamboni wakiwa
wamekumbwa na butwaa kufuatia kivuko hicho walichokuwa wamepanda
kukatika sehemu ya kushukia abiria na Magari na kupelekea hofu kubwa
miongoni mwao, baadhi ya abiria hao wakijaribu
kujinusuru na hali hiyo, kwani kivuko hicho kilikuwa kimesheheni abiria
lukuki
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia