UJUE MTUNGI WA FAYA ULIOJAZWA NA ULIOTUPU/AMBAO GESI IMEKWISHA
![]() |
| Mtungi uliojaa kwa kuzima Moto |
Mtungi ulioactive kwaajili ya kuzima moto mshale wake utakuwa kwenye green (kijani). Ikiwa mshale utakuwa kulia mwa alama ya kijani mtungi huu umejazwa kupita kiasi na ni hatari.Imeandaliwa na RSA na Dj Sek Blog
![]() |
| Huu ni mtungi ambao hauna ujazo wowote na hauwezi kuzima moto kwa namna yoyote ile |


0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia