MBUNGE MGIMWA ATOA VIFAA VYA UJENZI JIMBONI MWAKE
MBUNGE
wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa ametoa msaada wa vifaa
mbalimbali vya ujenzi vyenye thamani ya zaidi ya Sh Milioni 12
vitakavyotumika kuboresha miundombinu ya sekta ya elimu na afya jimboni
humo
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia