MTAMBO WA KUCHAKATA MAFUTA YA ALIZETI YAWA KIVUTIO KWA WAWEKEZAJI KWENYE MAONYESHO YA SABA SABA
Afisa wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Dkt. Sigisbert Mmasi katika Taasisi ya ubunifu na Usanifu mitambi Tanzania (TEMDO)akielezea jinsi mashine ya kusafisha mafuta ilivyokuwa kivutio ndani ya maonyesho ya saba saba yanayofanyika jijini Dar es salaam
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia