Ticker

6/recent/ticker-posts

MICHUANO YA WAVU YAANZA KURINDIMA ARUSHA



 picha ikionyesha wachezaji wa timu ya pentagone ya jijini arusha
Iliovaa bluu ikiwa inachezana wachezaji wa timu ya tanga katika
MICHUANO yamchezo wa wavu
klabu bingwa taifa inaendelea kutimua vumbi jijini hapa ambapo timu ya
mchezo wa wavu ya tanga iliibuka kidedea kwa kuifunga timu ya
pentagoni seti 3-1
 wachezaji wa pentagoni wakiwa wanamsikiliza mwalimu




picha zote na woinde shizza,Arusha

MICHUANO yamchezo wa wavu klabu bingwa taifa inaendelea kutimua vumbi jijini hapa
hukuikizishuhudia timu shiriki zikichuana vikali kwa kuonyesha
ubabe.Katikaufunguzi  wa michuano hiyo timu zaPentagone na Flowers za
jijini Aruisha zilifungua mashindano hayo ambapozilifanikiwa kumaliza
mchezo kwa timu ya Pentagone kuibuka na ushindi wa seti3-0 dhidi ya
wapinzani wao.Michezomingine ilichezwa kwa wanaume ambapo
ilizikutanisha timu za  Dodoma ambayo iliibuka na ushindi wa  seti 3-0
dhidi yaTanga, Karatu  walishinda seti 3-0 dhidi ya Flowers  hukukwa
upande wa wanawake timu ya Dodoma ilichabangwa jumla ya seti 3-0 na
wenzaoTanga. Mashindano hayo  yaliyoandaliwa na chama cha wavu
Tanzania(TAVA)  kwa Kushirikiana na chama chawavu mkoa Arusha
(AVA)yamekutanisha ,ikoa mitatu pekee ambayo ni Arusha ,Dodomana Tanga
huku vilabu sita kutoka mikoa hiyo ndivyo vinaonyeshana
ushindaniambavyo ni Pentagone kalbu,Flowers Arusha,Karatu,JKT Mbweni
ya Dar es salaam ,na Dodoma na Tanga vikiwakilishwa na timu mbili za
wanaume na wanawake kilamoja.Makamomwenyekiti wa chama cha wavu
Tanzania (TAVA) Muharini Mchume alisema kuwa  mikoa mingine
imeshiondwa kushirikkutokana nasababu mbalimbali za kwao kwani
zilithibitisha kuja lakini hazikuweza kufika .“Baadhi yavilabu
viliweza kutupa taarifa ya kushindwa kuja kwao katika mashindano
hayaikiwemo vilabu vya  jeshi na magerezamabavyo  vilitupa sababu yakuwa katikamasuala ya ulinzi na usalama.”alifafanua Mchume.Aidha
alieleza zawadi mbalimbali ikiwemo medali navikozitatolewa kwa
washindi na kuongeza kuwa  Mabingwa watetezi wa michuano hiyo ya
wavu2014  timu ya Magereza kwa wanawakekutoka jijini Dar es salaam

Post a Comment

0 Comments