MAMBO YALIYOKO NGORONGORO KWA MCHUNGAJI MSTAAFU,AMBULIKILE MWASAPILE MAELFU WAJITOKEZA





wananchi wengi wakiwa wamepanga mstari pamoja na huku magari pia yakiwa yamepanga mstari yakisubiri dawa kutoka kwa mchungaji mstaafu, Ambilikile Mwasapile



Maelfu ya watu wakisubiri uduma kutoka kwa babu





kunazaidi ya magari elfu tano ambayo yamefikia katika kijiji hicho huku yakiwa yamebeba watu pamoja na watu zaidi ya elfu kumi wakiwa wanataka huduma huu ni msururu wa magari yanayo enda uko


ukiwa unaelekea katika kijiji cha Samange kupata dawa utabahatika pia kuona mlima ambao ulikuwa unarusha volcano ujulikanao kama Oldonyolengai.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia