TIMU YA SIMBA IKIFANYA MAZOEZI KATIKA UWANJA WA KENDOWN JIJINI ARUSHA

mazoezi ya kufa mtu usipime simba

Daktari wa timu ya simba apa akifuatilia mazeozi kwa makini huku akiwaza

Wachezai wa timu ya simba wakiwa mazoezini

Kocha wa timu ya Simba mzambia Patrick Phiri akitoa maelekezo kwa wachezaji wakati wa mazoezi waliyokuwa wakifanyia katika kiwanja cha Ken down

Magoli kipa wa timu ya simba wakifanya mazoezi wakati walipo piga kambi jijini hapa ya siku tatu.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia