WABUNGE WA KENYA


Mwenyekiti wa BUNGE F.C. akiwa na mh. DAVAID KOECH na Mh. VICTOR MUNYAKA akitoa zawadi kwa mwenyekiti wa Wazee wa Arusha bwana DUNFORD MPUMILWA




Katibu wa bunge la nchi za JUmuuhiya za Afrika Mashariki Bwana KENNETH MADETE akitoa hotuba




Mweshimiwa David. E. Ethuro mwenyekiti wa klabu ya bunge la kenya ambao walikuja jijini hapa kushiriki mechi baina yao na wazee klabu akiwa anatoa speech katika hafula ya jioni walioandaliwa na wenyeji wao.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia