MASHINDANO YA EAST AFRIKA CUP YAZINDULIWA RASMI KILIMANJARO
pia kabla ya uzinduzi kulikuwa na semina maalumu waandishi ambayo ilifundishwa na wakufunzi kutoka BBC hapa mkufunzi Nick kutoka BBC akiwapa maelekezo washiriki

wachezaji watanzania wa kikundi cha ngoma wakionyesah vitu vyao
kukundi cha ngoma cha nchini Rwanda kikitumbuiza
baadhi ya wanawake kutoka kikundi cha ngoma cha Tanzania wakitumbuiza
Timu jutoka nchini Rwanda ikiwa imekaa chini ikifuatilia sherehe za uzinduzi wa East Afrika Cup
Picha baadhi ya viongozi wa mashindano haya wakiwa wanakaa katik uzinduzi huo w
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia