MREMBO APEWA CHETI NA MTHAMINI
Warembo wa zamani na sasa
Mrembo wa Arusha ambaye pia ndo mrembo wa kitongoji cha Arusha mjini Zahara Seleman akipokea cheti cha kutoka kwa mthamini wake ambeye alimthani kozi ya miaka miwili kutoka katika chuo cha Ttopical center Angelus Mamba wa pembeni ni muuandaaji wa miss Arusha Saida Kessy ambaye pia alisha wahi kuwa miss Tanzania 1997
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia