MALKIA WA MIPASHO AZINDUA ALBAMU ARUSHA
jimama linaimba apo anakwambie mwanamke kujiamini bwana
warembo kibao wa kumwaga
anawapa kampani wacheza shoo wake unaona apo mwanamke nyonga bwana
malikia aliamua kujichanganya na mashabiki wake
ona sasa niliamua kujichanganya apo nitafute utaniaona
wasanii wa filamu nao waliuthuria
staili izo apo chachaaaaaaaaa
kilamtu alionyesha nyonga yake
wakaka nao walijiachia mbaya









0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia