BONANZA LA BANKERS DAY 2014WAFANYAKAZI WA MABENKI MKOANI KILIMANJARO WATOANA JASHO KATIKA
| Wafanyakazi wa Benki mbalimbali mkoani Kilimanjaro wakitoana jasho katika mashindano ya mbio za mita 400. |
| Wafanyakazi wa Benki mbalimbali wakioneshana uwezo wa kusukuma Gogo katika Bonanza la Bankers Day lililofanyika katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika na Baiashara mjni Moshi. |
| Mm.oja wa wafanyakazi wa Benki akionesha kuku baada ya kufanikiwa kumshika katika mashindano ya kukimbiza kuku |
| Wengine walioneshana uwezo katika kukimbia huku wakiwa wamevaa gunia. |
| Kwa upande wa kamba mshindi hakuweza kupatikana kwa mara ya kwanza mchezo huo ulitoa Droo. |
| Wengine walikuwa katika mashndano ya kupuliza Puto . |
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia