Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Fimbo Buttallah akimkabidhi zawadi Waziri wa Habari, Utamaduni na
Michezo Dr. Fenella Mukangara wakati wa chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Castle Lager kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na
wadau wa soka nchini. Makocha hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha
wa ligi kuu na ligi daraja la kwanza
Meneja wa Bia ya Castle Lager, Kabula Nshimo(kulia) akimkabidhi zawadi kocha
Isaac Guerrero kutoka FC Barcelona wakati wa chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Castle Lager
kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na wadau wa soka nchini. Makocha
hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la
kwanza.
Makocha Isaac Guerrero (kushoto) na Dani Bigas (kulia) kutoka FC
Barcelona wakimkabidhi zawadi ya jezi balozi wa Hispania nchini Luis
Cuesta (katikati) wakati wa chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Castle Lager
kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na wadau wa soka nchini. Makocha
hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la
kwanza.
Makocha Isaac Guerrero (kushoto) na Dani Bigas (kulia) kutoka FC
Barcelona wakimkabidhi zawadi ya jezi Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (katikati) wakati wa chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Castle Lager
kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na wadau wa soka nchini. Makocha
hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la
kwanza.
Makocha Isaac Guerrero (kushoto) na Dani Bigas (kulia) kutoka FC
Barcelona wakimkabidhi zawadi ya jezi Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi wakati wa chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Castle Lager
kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na wadau wa soka nchini. Makocha
hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la
kwanza.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
RELATED POSTS
0
Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia