LOWASA KUFUNGUKA RASMI KUHUSIANA NA URAIS JUMAMOSI MAY 16 NDANI YA SHEIKH AMRI ABEID

Mbunge wa jimbo la monduli Mheshimiwa Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli anatarajia kutarajiwa kukizima kiu cha mda mrefu kilichokuwa kikiwa sumbua wananchi wengi  juu ya yeye kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya Urais katika nchi hii. mbunge huyo anataraja kutangaza rasmi jumamosi ya wiki hii nia yake ndani ya stadim jijini arusha 

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia