HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWAWATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.
![]() |
| Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira. |
![]() |
| Baadhi ya watalii wa ndani wakielekea katika kilele cha Shira safari ambayo inatajwa asilimia 70 wanaenda kwa usafiri wa gari |
![]() |
| Ukiwa katika hifadhi hiyo utafurahia mandhari mbalimbali za mlima huo. |
![]() |
| Wengine wanaweza pia kupanda na watoto wao. |
![]() |
| Hivi ndivyo safari ya mwisho huwa. |
![]() |
| Njiani utakutana na uoto mbalimbali wa asili . |
![]() |
| Zipo tenti kwa ajili ya watalii wanaoendelea na safari. |
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia