UBOVU WA BARABARA WAWAKOSESHA RAHA WATALII WA NDANI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO.
![]() |
| Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara . |
![]() |
| Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi hiyo. |
![]() |
| Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira. |
![]() |
| Safari ya kuelekea kilele cha Shira ikianza. |
![]() |
| Baadhi ya watalii wa ndani. |
![]() |
| Hali ya hewa katika eneo hili ni ya kubadilika . |











0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia