Mashindano ya Tigo Fiesta Super Nyota yafana Jijini Mwanza Inbox x
| Msanii pekee wa kike aliyeingia Fainali ya Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza,Yasinta akiimba wakati wa shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Rock Bottom jijini Mwanza jana. |
| Msanii mdogo kuliko wote kwenye Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza, Aga Star akionyesha kipaji chake. |
| Msanii Nchama akiwania nafasi ya kushiriki fainali za Tigo Fiesta Super Nyota zitakazofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini mwanza jumamosi wakati wa msimu wa fiesta |
| Majaji wakiongozwa na Gardener G Habash(katikati) wakihesabu kura kwenye mchuano wa Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza. |
| Washindi walioingia fainali ya Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza, wakiwa kwenye picha ya pamoja. |
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia