KISHINDO CHA TIGO FIESTA CHATIKISA MJI WA MTWARA
![]() |
Roma Mkatoliki akiwapa mashabiki burudani tosho kwenye tamasha la Tigo fiesta uwanja wa Umoja Nangwanda mkoani Mtwara
|
![]() |
| Msanii Manfongo akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Umoja Nangwanda Mtwara jana |
![]() |
| Jay Moe akiwaburudisha wakazi wa Mtwara katika tamasha la Tigo Fiesta |
![]() |
| Joh MAKINI Akitumbuiza katika jukwaa la Tigo fiesta usiku wa jana mjini Mtwara |
![]() |
| Weusi wakilivamia katika jukwaa la Tigo Fiesta |
![]() |
| Msanii toka Mtwara aliyepatikana katika shindano la Super Nyota akitumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta |







0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia