TIGO YAZINDUA 4G LTE SAME MKOANI KILIMANJARO
| Katibu Tawala wa Wilaya ya Same Sospeter Mabenga, akihutubia wakati wa kuzindua mtandao wenye kasi wa 4G LTE, hafla ambayo ilifanyika jana mjini Same. |
| Wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mononi ya Tigo wakishuhudia uzinduzi wa mtandao wa 4G LTE, uliofanyika jana mjini Same. |
| Baadhi ya wakazi wa mji wa Same wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi, Katibu Tawala wa Wilaya ya Same Sospeter Mabenga |
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini George Lugata akimkabidhi mgeni rasmi zawadi ya line mpya ya 4G LTE kwa ajili ya matumizi yake
|
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia