RC Kihongosi Kueleza Hatua Maendeleo Arusha mbele ya Vyombo vya Habari
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mhe. Kenani Kihongosi atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari -Maelezo,Jijini Dodoma akielezea mafanikio ya Mkoa wa Arusha kwa kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya sita.
Ungana nasi moja kwa moja kupitia TBC-1, Sunrise fm radio na Radio5 zilizopo Jijini Arusha @kenanikihongosi @kayombojohn @jajujacob @gersonmsigwa @samia_suluhu_hassan

0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia