Hii ni standi ya mabasi makubwa mjini Babati muonekano ambao upo kwa sasa ambapo watu wengi wanalalamikia standi hiyo nakusema kuwa imekuwa ni kero kwakuwa inajaa maji sana mpaka wakati mungine inafikia hatua watu uwanashindwa kwenda kupanda mabasi namabasi hayaingii ndani kutokana na mvua

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia